Ufafanuzi wa nepa katika Kiswahili

nepa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pinda na kunyoka bila ya kuvunjika k.v. hinzirani.

    nesa

Matamshi

nepa

/nɛpa/