Ufafanuzi wa nepi katika Kiswahili

nepi

nominoPlural nepi

  • 1

    kitambaa kitumiwacho kumvisha mtoto mchanga katika sehemu za uchi ili kuzuia mkojo na kinyesi kisisambae ovyo.

    ubinda, winda

Asili

Kng

Matamshi

nepi

/nɛpi/