Ufafanuzi wa nepua katika Kiswahili

nepua

kitenzi sielekezi~lia, ~ka, ~sha

  • 1

    nepa huku na huku k.v. mtu anavyofanya wakati wa kucheza au yanavyofanya matawi ya mti wakati wa upepo.

    ‘Mwari ananepua’

Matamshi

nepua

/nɛpuwa/