Ufafanuzi wa neso katika Kiswahili

neso

nomino

  • 1

    kitambaa cha aina ya bafta nyembamba.

Matamshi

neso

/nɛsɔ/