Ufafanuzi wa netiboli katika Kiswahili

netiboli

nominoPlural netiboli

  • 1

    mchezo wa mpira wa mikono uchezwao na wanawake kwenye kiwanja ambacho magoli yake ni milingoti mirefu yenye pete na nyavu.

Asili

Kng

Matamshi

netiboli

/nɛtibɔli/