Ufafanuzi wa ng’aka katika Kiswahili

ng’aka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa maneno kwa ukali kwa kutoridhika na jambo fulani.

Matamshi

ng’aka

/ŋaka/