Ufafanuzi wa ng’ang’ani katika Kiswahili

ng’ang’ani

kielezi

  • 1

    neno linalotumika kusisitiza mshikilio wa jambo au ukaidi.

Matamshi

ng’ang’ani

/ŋaŋani/