Ufafanuzi wa ng’arisha katika Kiswahili

ng’arisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu king’ae kwa kukisugua kwa dawa maalumu.

    ‘Ameng’arisha viatu vyake kwa rangi ya viatu’

Matamshi

ng’arisha

/ŋari∫a/