Ufafanuzi wa ng’atuka katika Kiswahili

ng’atuka

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    ondoka kwa hiari katika nafasi ya uongozi.

Matamshi

ng’atuka

/ŋatuka/