Ufafanuzi wa ng’oka katika Kiswahili

ng’oka

kitenzi sielekezi

  • 1

    (kwa mmea) toka ardhini na mizizi yake.

Matamshi

ng’oka

/ŋɔka/