Ufafanuzi msingi wa ng’ombe katika Kiswahili

: ng’ombe1ng’ombe2

ng’ombe1

nominoPlural ng’ombe

 • 1

  mnyama jamii ya nyati anayefugwa na hutumiwa kupata nyama, maziwa na ngozi na kwato zake hutumiwa kutengenezea gundi.

  methali ‘Ng’ombe akivunjika mguu hukimbilia zizini’
  methali ‘Ng’ombe mwenye tume ndiye achinjwaye’
  methali ‘Ng’ombe haelemewi na nunduye’
  methali ‘Ng’ombe na mbuzi ni wamoja, mtu kando ni kondoo’
  bakari

Ufafanuzi msingi wa ng’ombe katika Kiswahili

: ng’ombe1ng’ombe2

ng’ombe2

nominoPlural ng’ombe

 • 1

  ngoma za pepo au mashetani.

  shemng’ombe

Matamshi

ng’ombe

/ŋɔmbɛ/