Ufafanuzi wa ng’onda katika Kiswahili

ng’onda

nominoPlural ng’onda

  • 1

    samaki aliyepasuliwa sehemu mbili zilizo sawa na kuanikwa juani.

Matamshi

ng’onda

/ŋɔnda/