Ufafanuzi wa ng’ongo katika Kiswahili

ng’ongo

nominoPlural ng’ongo

  • 1

    tunda dogo la duara lenye kufanana na mbura, likiiva huwa rangi ya maziwa.

Matamshi

ng’ongo

/ŋɔngɔ/