Ufafanuzi wa ng’wafua katika Kiswahili

ng’wafua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    uma na kuondoa pande la nyama au kitu kwa ghafla kama vile mbwa anavyofanya.

    ng’ofoa

Matamshi

ng’wafua

/ŋwafuwa/