Ufafanuzi wa ngalawa katika Kiswahili

ngalawa, ngarawa

nomino

  • 1

    mtumbwi wenye mirengu ambao hutumiwa kuvulia samaki.

Matamshi

ngalawa

/ngalawa/