Ufafanuzi msingi wa ngama katika Kiswahili

: ngama1ngama2ngama3

ngama1

nominoPlural ngama

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  mahali katikati ya chombo cha bahari k.v. jahazi au meli ambapo huwekwa shehena.

  banduru

Matamshi

ngama

/ngama/

Ufafanuzi msingi wa ngama katika Kiswahili

: ngama1ngama2ngama3

ngama2

nominoPlural ngama

 • 1

  udongo mweupe na mgumu unaofanana na udongo wa kufinyangia.

Matamshi

ngama

/ngama/

Ufafanuzi msingi wa ngama katika Kiswahili

: ngama1ngama2ngama3

ngama3

nominoPlural ngama

 • 1

  choo kimtokacho mtu ghafla kutokana na kubanwa au kuminywa.

  ‘Amempiga mpaka akamtoa ngama’

Matamshi

ngama

/ngama/