Ufafanuzi wa ngambi katika Kiswahili

ngambi

nominoPlural ngambi

 • 1

  makubaliano ya kupiga marufuku kitu fulani kufanyika k.v. uanguaji nazi au uvunaji wa mazao ili kuzuia wizi au matumizi mabaya.

  ‘Kula ngambi’
  ‘Vunja ngambi’

 • 2

  ‘Tuna ngambi ya maji, hatuna ngambi ya chakula’
  shida, upungufu

Matamshi

ngambi

/ngambi/