Ufafanuzi wa ngegu katika Kiswahili

ngegu

nominoPlural ngegu

  • 1

    udongo mwekundu unaonata, agh. hutumika kukandikia.

Matamshi

ngegu

/ngɛgu/