Ufafanuzi wa ngeja katika Kiswahili

ngeja

nominoPlural ngeja

  • 1

    uchafu unaogandama kwenye meno.

    susa

Matamshi

ngeja

/ngɛʄa/