Ufafanuzi wa ngiri katika Kiswahili

ngiri

nominoPlural ngiri

  • 1

    mnyama mdogo wa porini jamii ya nguruwe mwenye manyoya marefu mgongoni na meno mawili yaliyotokeza nje.

    gwase, mbango

Matamshi

ngiri

/ngiri/