Ufafanuzi wa ngojamaliko katika Kiswahili

ngojamaliko

nominoPlural ngojamaliko

  • 1

    ndege mkubwa mweusi afananaye na korongo, mwenye tamvua jekundu shingoni, chakula chake kikuu ni nyoka.

    vumatiti

Matamshi

ngojamaliko

/ngɔʄamalikɔ/