Ufafanuzi msingi wa ngome katika Kiswahili

: ngome1ngome2ngome3

ngome1

nominoPlural ngome

 • 1

  miamba mirefu iliyo pwani ambapo mawimbi ya bahari humalizikia, agh. hufanya mapango.

Matamshi

ngome

/ngɔmɛ/

Ufafanuzi msingi wa ngome katika Kiswahili

: ngome1ngome2ngome3

ngome2

nominoPlural ngome

 • 1

  boma la mawe au la miti linalotumika kwa kujihami dhidi ya maadui, hasa wakati wa vita.

  husuni, boma, buruji, sera

Matamshi

ngome

/ngɔmɛ/

Ufafanuzi msingi wa ngome katika Kiswahili

: ngome1ngome2ngome3

ngome3

nominoPlural ngome

 • 1

  wachezaji wa nyuma wanaozuia mashambulizi katika mpira wa miguu.

  difensi

Matamshi

ngome

/ngɔmɛ/