Ufafanuzi wa ngozi katika Kiswahili

ngozi

nominoPlural ngozi

  • 1

    sehemu ya juu inayofunika nyama katika mwili wa kiumbe.

Matamshi

ngozi

/ngɔzi/