Ufafanuzi wa ngumi katika Kiswahili

ngumi

nominoPlural ngumi

  • 1

    mkono uliofumbatwa ili kukinga au kupiga.

    konde, ndondi, sumbwi

Matamshi

ngumi

/ngumi/