Ufafanuzi wa nguru katika Kiswahili

nguru

nominoPlural nguru

  • 1

    samaki mkubwa mrefu wa maji ya chumvi mwenye umbo la mviringo, rangi ya kijivu mgongoni na nyeupe tumboni.

Matamshi

nguru

/nguru/