Ufafanuzi wa nguruma katika Kiswahili

nguruma

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti ya mvumo; toa sauti kama ya mlio wa simba.

    vuma, guma, rindima

Matamshi

nguruma

/nguruma/