Ufafanuzi wa ngurunga katika Kiswahili

ngurunga

nomino

  • 1

    meza au kiti kilichotengenezwa kwa mawe, udongo au marumaru.

Matamshi

ngurunga

/ngurunga/