Ufafanuzi wa nguta katika Kiswahili

nguta

nominoPlural nguta

  • 1

    nazi iliyokauka ndani kwa ndani na kusokoka yenyewe kutoka katika kifuu kabla ya kifuu kuvunjwa.

    mbata

Matamshi

nguta

/nguta/