Ufafanuzi wa nguyu katika Kiswahili

nguyu

nomino

  • 1

    kiungio cha mguu na kanyagio.

Matamshi

nguyu

/nguju/