Ufafanuzi wa ngwara katika Kiswahili

ngwara

nomino

  • 1

    ukwatuaji wa miguu kwa miguu wakati watu wanapocheza au kukimbizana.

Matamshi

ngwara

/ngwara/