Ufafanuzi wa niaba katika Kiswahili

niaba

nominoPlural niaba

  • 1

    badala ya; kwa ajili ya.

    ‘Amekwenda kwa niaba yao’

Matamshi

niaba

/nijaba/