Ufafanuzi wa nibu katika Kiswahili

nibu

nominoPlural nibu

  • 1

    kibati chenye ncha iliyochongoka ambacho huchomekwa kwenye kalamu ya wino ili kuandikia.

Asili

Kng

Matamshi

nibu

/nibu/