Ufafanuzi wa nikotini katika Kiswahili

nikotini

nominoPlural nikotini

  • 1

    dawa inayopatikana katika tumbaku ambayo ikivutwa au kutafunwa huwa ni hatari kwa afya.

Asili

Kng

Matamshi

nikotini

/nikɔtini/