Ufafanuzi wa ning’inia katika Kiswahili

ning’inia

kitenzi sielekezi~za, ~zwa

  • 1

    shikilia kwa juu bila ya kugusa chini k.v. popo anavyofanya anapojishikilia mtini.

    angama, anga

Matamshi

ning’inia

/niŋinija/