Ufafanuzi wa ning’iniza katika Kiswahili

ning’iniza

kitenzi elekezi

  • 1

    shikiza kitu juu, agh. kwa kamba, bila kukiachia kiguse chini.

    aliki, angika

Matamshi

ning’iniza

/niŋiniza/