Ufafanuzi wa nishai katika Kiswahili

nishai

nomino

  • 1

    hali ya kulewalewa anayokuwa nayo mtu aliyetumia kileo au dawa za kulevya.

Asili

Kar

Matamshi

nishai

/niāˆ«aji/