Ufafanuzi wa nishani katika Kiswahili

nishani

nomino

  • 1

    medali ya heshima apewayo mtu baada ya kufanya kazi vizuri, hasa askari vitani.

Asili

Kar

Matamshi

nishani

/niāˆ«ani/