Ufafanuzi wa nishati katika Kiswahili

nishati

nominoPlural nishati

  • 1

    nguvu ya kuendesha mitambo; nguvu ya kufanya kazi.

    ‘Nishati ya umeme’
    kawi

Asili

Kar

Matamshi

nishati

/ni∫ati/