Definition of nitrojeni in Swahili

nitrojeni

noun

  • 1

    gesi iliyoko katika hewa isiyokuwa na rangi, harufu wala ladha na ambayo ni sehemu nne ya tano ya jumla ya hewa yote.

Origin

Kng

Pronunciation

nitrojeni

/nitrɔʄɛni/