Ufafanuzi wa njemba katika Kiswahili

njemba

nomino

  • 1

    mtu mwenye mwili mkubwa na mabavu; pandikizi la mtu.

Matamshi

njemba

/nʄɛmba/