Ufafanuzi msingi wa njia katika Kiswahili

: njia1njia2

njia1

nomino

 • 1

  sehemu inayotumiwa ili kupitia.

  ‘Njia ya reli’
  barabara, kichochoro, sabili

Ufafanuzi msingi wa njia katika Kiswahili

: njia1njia2

njia2

nomino

 • 1

  namna au jinsi ya kufanya au kupatia jambo.

  ‘Njia za kufundishia’
  ‘Njia za uchumi’
  ‘Njia za mawasiliano’

Matamshi

njia

/nʄija/