Ufafanuzi wa njiwa katika Kiswahili

njiwa

nominoPlural njiwa

  • 1

    ndege mkubwa kuliko tetere na mwenye rangi ya kijivu, weupe usiokoza na ambaye hula nafaka.

    hua, hamamu

Matamshi

njiwa

/nʄiwa/