Ufafanuzi wa njiwamanga katika Kiswahili

njiwamanga

nomino

  • 1

    njiwa anayefugwa, na wako wenye rangi mbalimbali.

  • 2

    kunda.

Matamshi

njiwamanga

/nʄiwamanga/