Ufafanuzi msingi wa njugu katika Kiswahili

: njugu1njugu2

njugu1

nomino

 • 1

  mmea unaozaa maua ambayo hujifukia ardhini na kutoa mbegu zinazotengenezwa mafuta ya karanga.

 • 2

  mmea wa jamii ya fiwi unaozaa punje ngumu za mviringo.

Matamshi

njugu

/nʄugu/

Ufafanuzi msingi wa njugu katika Kiswahili

: njugu1njugu2

njugu2

nomino

 • 1

  punje ngumu za mviringo.

  karanga