Ufafanuzi wa nne katika Kiswahili

nne

nominoPlural nne

  • 1

    tarakimu iliyo idadi kamili kati ya tatu na tano.

  • 2

    ‘4’.

    aruba

Matamshi

nne

/n nɛ/