Ufafanuzi wa noba katika Kiswahili

noba

nominoPlural noba

  • 1

    hali ya kufanya kazi au jambo kwa kupokezana ili kufanya mzunguko.

Matamshi

noba

/nɔba/