Ufafanuzi wa nong’ona katika Kiswahili

nong’ona

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~eza

  • 1

    sema taratibu kwenye sikio la mtu ili wengine wasisikie.

  • 2

    sema kwa taratibu habari isienee.

Matamshi

nong’ona

/nɔŋɔna/