Ufafanuzi msingi wa nongwa katika Kiswahili

: nongwa1nongwa2

nongwa1

nominoPlural nongwa

 • 1

  hali ya kuwa na mfundo wa moyo.

 • 2

  hali ya kumchosha mtu kwa maneno mengi.

  ‘Mwenziwe akisema kidogo tu imekuwa nongwa’

Matamshi

nongwa

/nɔngwa/

Ufafanuzi msingi wa nongwa katika Kiswahili

: nongwa1nongwa2

nongwa2

nominoPlural nongwa

 • 1

  jambo afanyalo mtu kwa nia njema lakini baadaye likawa adha.

  ‘Kukukaribisha nyumbani siku moja sasa ndio imekuwa nongwa , kila siku hodi hodi haziishi’

Matamshi

nongwa

/nɔngwa/