Ufafanuzi wa nufaika katika Kiswahili

nufaika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    pata faida.

    faidika, faidi

Asili

Kar

Matamshi

nufaika

/nufaIka/