Ufafanuzi wa nuia katika Kiswahili

nuia

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    kusudia kufanya jambo fulani.

    dhamiria, kusudia, ukilia, hirimia, azimu

Asili

Kar

Matamshi

nuia

/nuwija/